Saturday, 31 August 2013

Karibuni








Karibuni ndugu wasomaji wa hadithi na makala kwenye blog hii mpya itakayowaletea mambo motomoto ya kusisimua, kuburudisha, kufundisha, kuelimisha na kuharibisha bila kuvunja mila na utamaduni wetu wala kuvunja sheria za Mungu na taifa letu adhimu la Tanzania!

No comments:

Post a Comment